SHINE MUSIC TZ

SHINE MUSIC TZ

News

Sports

Recent Posts

View More

Thursday, 14 December 2017

Monday, 11 December 2017

Tarehe ya kutoka, bei na orodha ya nyimbo zilizomo kwenye album ya ‘A boy From Tandale’ ya Diamond, zatajwa

7 years ago 0

Hakuna ubishi kwa mwaka huu mashabiki wengi wa muziki walikuwa wanasubiria kwa hamu kuipokea album ya ‘A Boy From Tandale’ ya msanii maarufu zaidi Tanzania, Diamond Platnumz ukweli ni kwamba album hiyo haitatoka mwaka huu tena badala yake i...

Read More

Baada ya sakata la dawa za kulevya, Wema aweka wazi mahusiano yake na RC Makonda

7 years ago 0

Tangu mrembo Wema Sepetu akamatwe kwa tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya kwa kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mnamo mwezi Februari mwaka huu, Mrembo huyo hajawahi kumposti wala kumzungumzia kwa lolote kama alivyokuwa akifanya hivyo...

Read More

Ujumbe wa Stamina kwa mpenzi wake baada ya pete ya uchumba

7 years ago 0

Baada ya siku ya jana rapper Stamina kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi, Veronica, amefunguka mambo machache. Stamina ameeleza changamoto za mahusiano yao kwa ufupi. Kupitia ukursa wake wa mtandao wa Instagram Stamina amean...

Read More

M 2 The P adai hakuna beef la Diamond na Alikiba

7 years ago 0

Amesema kilichopo kati ya Alikiba na Diamond ni ushindani wa kimuziki kitu ambacho ni kizuri katika ukuaji wa muziki wa Bongo Flava. “Siwezi kusema wana beef labda wana ushindani wa muziki, kila mtu anajali kufanya kazi vizuri, Mungu awalijie...

Read More

Sunday, 10 December 2017

Aunt Ezekiel kurejea kwenye movie Baada ya malezi

7 years ago 0

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema yupo tayari kurejea katika movie baada ya malezi ya mtoto wake. Muigizaji huyo amesema sasa anajipanga kurejea ili kuweza kuja na kazi nzuri, huku akieleza anakosa vitu vingi anapokuwa nje ya locat...

Read More

Shetta ajibu chanzo cha bifu lake na Diamond Platnumz

7 years ago 0

Msanii wa muziki Bongo, Shetta amefunguka kuhusu madai ya kuwa na beef na Diamond. Shetta ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Vumba’ ameiambia The Playlist, Times Fm kuwa hawana beef ila kilichotokea ni kila mmoja kujikita zaidi kati...

Read More
Page 1 of 3123Next »Last

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *