Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema yupo tayari kurejea katika movie baada ya malezi ya mtoto wake.
Muigizaji huyo amesema sasa anajipanga kurejea ili kuweza kuja na kazi nzuri, huku akieleza anakosa vitu vingi anapokuwa nje ya location.
“Muda nadhani umeshafika nilisema after two years mwanangu atakuwa vizuri na nitaingia rasmi na kuanza kupambana, so sasa hivi ana two years and half ndio maana najipanga muda siyo mrefu nitakuwa poa”
Aunt Ezekiel alikuwa anamlea mwanaye, Cookie aliyezaa na Mose Iyobo
No comments:
Post a Comment